Mapendekezo ya Kina Warioba Yazidi Kutupwa

Mapendekezo ya wajumbe walio wengi wa Bunge Maalum la Katiba ya kufutwa kwa baadhi ya ibara katika sura ya tatu ya rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, yameleta mvutano mkali baada ya wajumbe walio wachache kupinga hatua hiyo na kusema ni kitendo kinacholeta hofu kwa viongozi waroho kutaka kuendelea kujilimbikizia mali kwa njia za kifisadi. Wajumbe hao walisema hayo jana bungeni wakati wa uwasilishaji wa ... Habari Kamili

CCM Yawapiga Kufuli Mwigulu, Filikunjombe

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wajumbe wake walioko katika Bunge Maalum la Katiba, kutotoa kauli zenye mwelekeo wa kupinga kuendelea kwa bunge hilo baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kujitoa.Kadhalika, wametakiwa kutowazungungumzia wajumbe wa Ukawa wakati wa mijadala ndani ya bunge hilo.Msimamo huo ambao ulitolewa juzi usiku, unaonekana kuwalenga baadhi ya wajumbe wa bunge hilo kupitia CCM ambao wamekuwa ... Habari Kamili

Shein Ateta na Marais wa Seychelles, Comoro

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amekutana na Marais wa Seychelles, James Michel na wa Comoro, Ikililou Dhoinine, kuzungumzia uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na nchi zao. Mazungumzo hayo yalifanyika jana kabla ya kuanza kuhudhuria mkutano wa tatu wa kimataifa wa nchi za visiwa unaoendelea mjini Apia katika visiwa vya Samoa.Katika mazungumzo yake, Dk. Shein alimhakikishia Rais Michel kuwa Tanzania inaunga mkono mpango wa ... Habari Kamili

Wafanyabiashara Dar Waendelea Kuikomalia TRA

Wafanyabishara wa maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam wameendelea na mgomo wa kutofungua maduka yao na kusisitiza kusitisha mgomo huo iwapo serikali itawafungulia maduka wenzao waliofungiwa pamoja na kupunguza makato makubwa ya kodi yasiyoendana na mapato.NIPASHE ilizunguka katika mitaa ya Lindi, Kongo, Sikukuu, Swahili, Aggrey, Pemba, Msimbazi na kushuhudia maduka hayo yakiwa yamefungwa kwa siku ya pili sasa baada ya Mamlaka ya Mapato ... Habari Kamili

MAONI: Wasanii, Tumieni Fursa kwa Sauti Moja, Mueleweke…

Tofauti na zamani, katika zama hizi za sanaa ya kizazi kipya, kila ukikutana na msanii, ukasema mpoteze muda kuongea mambo mawili matatu, lazima katikati ya maongezi yenu atakuingizia suala la jinsi sanaa inavyochukuliwa rahisi rahisi nchini.Hiki ni kilio ambacho kimekuwa kwa muda sasa, tangu sanaa inaanza kuleta mwanga na kutambulika rasmi kama ajira, wasanii wamekuwa wakilalamika kila siku kwamba sanaa ingechukuliwa kama sekta makini, ... Habari Kamili

Vifaa vya Simba Hadharani Leo

Nyota wapya wa Simba leo watatambulishwa wakati vijana hao wa Msimbazi watakapoikabili Zesco ya Zambia katika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Kabla ya mchezo huo kutakuwa na utambulisho maalumu wa wachezaji wote waliosajiliwa na klabu hiyo ambao ni kipa Hussein Sharrif ‘Casillas’ kutoka Mtibwa, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ (Kagera Sugar), Abdi Banda (Coastal Union), Shaban Kisiga (Mtibwa Sugar) na Kwizera Pierre ... Habari Kamili

Habari Mpya

Mapendekezo ya Kina Warioba Yazidi Kutupwa

Mapendekezo ya Kina Warioba Yazidi Kutupwa

Mapendekezo ya wajumbe walio wengi wa Bunge Maalum la Katiba ya kufutwa kwa baadhi ya ibara katika sura ya tatu ya rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, yameleta mvutano mkali baada ya wajumbe walio wachache kupinga hatua hiyo na kusema ni ... Habari Kamili

Msuya na Dhana Mawaziri Wakuu Kukosa Urais Tanzania

Msuya na Dhana Mawaziri Wakuu Kukosa Urais Tanzania

Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Cleopa David Msuya amesema kushindwa kwake katika jaribio la kutaka kuwa mgombea wa nafasi ya urais mwaka 1995 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni ishara ya ukomavu wa kidemokrasia na siyo kweli kwamba aliponzwa na cheo cha ... Habari Kamili

Tume: Polisi Wanawatesa, Kuwadhalilisha Watuhumiwa

Tume: Polisi Wanawatesa, Kuwadhalilisha Watuhumiwa

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema Jeshi la Polisi limekuwa likitumia nguvu kubwa katika kuwashughulikia watuhumiwa wa kesi mbalimbali nchini.Pia imesema nguvu, ambayo imekuwa ikitumika kuwashughulikia watuhumiwa ni pamoja na kuwatesa, kuwadhalilisha, ... Habari Kamili

Wafanyabiashara Dar Waendelea Kuikomalia TRA

Wafanyabiashara Dar Waendelea Kuikomalia TRA

Wafanyabishara wa maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam wameendelea na mgomo wa kutofungua maduka yao na kusisitiza kusitisha mgomo huo iwapo serikali itawafungulia maduka wenzao waliofungiwa pamoja na kupunguza makato makubwa ya kodi yasiyoendana na mapato.NIPASHE ... Habari Kamili

Shein Ateta na Marais wa Seychelles, Comoro

Shein Ateta na Marais wa Seychelles, Comoro

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amekutana na Marais wa Seychelles, James Michel na wa Comoro, Ikililou Dhoinine, kuzungumzia uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na nchi zao. Mazungumzo hayo yalifanyika jana kabla ya kuanza kuhudhuria mkutano wa tatu wa kimataifa ... Habari Kamili

NIDA: Ugawaji Vitambulisho Vya Taifa Haujasitishwa

NIDA: Ugawaji Vitambulisho Vya Taifa Haujasitishwa

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imewaondoa hofu wananchi wakiwamo wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuhusu taarifa za kusitishwa kwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya uraia kwamba zoezi hilo halijasitishwa bali ulikuwa ni utaratibu wa ndani.Ufafanuzi huo ulitolewa ... Habari Kamili